Niliye Msafiri Lyrics – Papi Clever, Dorcas

Niliye Msafiri Lyrics by Papi Clever and Dorcas is a Afrikan song sung by Papi Clever, Dorcas.


Niliye Msafiri Song Details

📌 SongNiliye Msafiri
🎤 ArtistsPapi Clever, Dorcas
✍️ LyricsPapi Clever, Dorcas
🎼 MusicPapi Clever, Dorcas
🏷️ Music LabelLyricswarr

Niliye Msafiri Music Video Papi Clever


Niliye Msafiri Lyrics Papi Clever

Niliye Msafiri, Mgeni Duniani
Sioni Kwangu Hapa, Ni Huko Ju’ Mbinguni
Ninatamani Nami Kukaa Siku Zote
Pamoja Naye Baba Katika Utukufu

Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku
Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku

Mwokozi Yuko Huko, Rafiki Yangu Mwema
Aliyenikomboa Na Ku’chukua Dhambi
Na Hata Nikiona Furaha Siku Zote
Ningali Natamani Makao Ya Mbinguni

Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku
Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku

Na Nikipewa Huku Vipawa Vya Thamani
Na Wakiimba Nyimbo Za Kunifurahisha
Rafiki Wangu Wote Wakipendeza Mimi
Ningali Natamani Makao Ya Mbinguni
Ningali Natamani Makao Ya Mbinguni
Ningali Natamani Makao Ya Mbinguni

Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku
Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku

Upesi Nitaona Kifiko Cha Mbinguni
Mwokozi Wangu Yesu Atanikaribisha
Na Huko Nitaona Nilivyotumaini
Kinubi Nita’piga Kumshukuru Yesu
Na Huko Nitaona Nilivyotumaini
Kinubi Nita’piga Kumshukuru Yesu
Kinubi Nita’piga Kumshukuru Yesu

Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku
Kwangu Mbinguni, Kwangu, Uzuri
Wa Binguni Wapita Yote Huku


Niliye Msafiri Lyrics in English

I Am A Traveler, A Stranger In The World
I Don’t See Myself Here, It’s Up There In Heaven
I Want To Stay With You All The Time
With Him The Father In Glory

To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here
To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here

The Savior Is There, My Good Friend
Who Redeemed Me And Took Away My Sins
And Even If I See Happiness All The Time
I Am Still Longing For A Heavenly Abode

To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here
To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here

And Given These Precious Gifts
And Singing Songs To Please Me
All My Friends Like Me
I Am Still Longing For A Heavenly Abode

To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here
To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here

Soon I Will See The Arrival Of Heaven
My Savior Jesus Will Welcome Me
And There I Will See What I Hoped For
I Will Play The Harp To Thank Jesus

To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here
To Me Heaven, To Me, Beauty Of Heaven Pass All Here

Author: admin